Baada ya kutamka kuwa hayupo tena kwenye team ya B'hits msanii wa Hip Hop
nchini aliwaacha mashabiki wake midomo wazi na wengine kutaka kujua ni nini
kimetokea sasa Mabeste amefunguka hapa na kusema
"Tatizo ni maelewano ya kibiashara kati ya mimi na uwongozi wa B"hits na si
vinginevyo.....!! Akuna mtu ambaye apendi kuona faida kwenye kazi yake...!!
Na kwasababu music ni kazi ...Baaasi nimejaribu kutetea kazi yangu...!!
Pamoja saana"