Siku moja baada ya kamati ya bunge ya uchumi viwanda na biashara kuanisha takwimu
za kuongezaka kwa deni la taifa kwa shilingi trilini 8.2 kwa kipindi cha miezi saba na kusababisha deni hilo kufikia trilioni 28 kutoka trilioni 24.18 na kusababisha kila mwananchi kudaiwa shilingi laki sita kwa idadi ya watanzania milioni 45
No comments:
Post a Comment