Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge amefariki dunia leo alfajiri akiwa nchini India anapatiwa matibabu.
Kifo cha Meja General mstaafu Mbuge kimethibitishwa na Mtoto wake
Octiber 12, 2024 Mbuge leo aliagwa rasmi Jeshini baada ya kulitumikia Jeshi kwa zaidi ya miaka 38 aliahwa kwa kukagua gwaride rasmi la Kijeshi katika Viwanja vya Mgulani (Twalipo Admistration Unit-TAU) Jijini Dar es salaam.
Mbuge amepitia katika nafasi mbalimbali za Uongozi baadhi ni Mkuu wa JKT, Mkuu wa Mkoa Kagera, Mkurugenzi wa Idara ya Menejimenti ya Maafa katika ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment